BETI NASI UTAJIRIKE

BAADA YA FIFA RONALDO KUPATA ZAWADI NYINGINE DISEMBA

Baada ya kushinda tuzo ya mchezaji bora wa duniaCristiano anazidi kuwa na furaha zaidi na anategemea zawadi nyingine kubwa kutoka kwa mpenzi wake 
 Cristiano Ronaldo (32) amefanikiwa kupata watoto watatu mpaka sasa na anategemea kupata mtoto wanne. Mpenzi wake  Georgina Rodriguez  (22) ana ujauzito wa miezi 8 na anategemewa kujifungua mwezi Disemba mwanzoni.
 Mwaka huu Ronaldo anaonekana  mwenye furaha zaidi kwani amefanikiwa kuisaidia Real Madrid kutwaa makombe huku  Ureno ikifuzu kwenda Urusi 2018 , amefanikiwa kupata watoto mapacha wawili mwaka huu.
Katika usiku wa tuzo  Ronaldo alionekana mwenye furaha zaidi baada ya kufanikiwa kuitetea tena tuzo ya mchezaji Bora wa Fifa akiwamwaga Neymar Jr na Messi.
Kwa upande wa mpinzani wake Lionel Messi anategemea kupata mtoto wake wa tatu baada ya hivi karibuni mpenzi wake akiposti kupitia instagram.

Post a Comment

0 Comments