advertise with us

ADVERTISE HERE

ARSENAL KUWABAKIZA OZIL NA SANCHEZ

Kroenke anampango wa kuwabakiza Sanchez na Ozil katika klabu ya Arsenal. Kroenke naamini wachezaji hao watabaki katika klabu hiyo.
 Stan Kroenke moja ya matajiri wa Arsenal wenye shea nyingi ameanzoisha kampeni ya kuwabakiza wachezaji hao baada ya mikataba na klabu kufika mwisho. wacheaji hao wanataka mishahara mikubwa na wenga hataki kusikiliza ofa zao.
Baada ya tetesi kusambaa wachezaji hapo kuhusishwa na kuondoka tajiri Kroenke ameonekana kupinga suala hilo na anataka kuwabakiza klabuni hapo.
"ukitaka kuwavuta wachezaji wakubwa , washikilie wachezaji wakubwa ulionao kama  Ozil na Sanchez"
nilikuwa nawatazama katika mchezo dhidi ya Everton tulioshinda  (5-2) walionekana kufanya vizuri na tunajiandaa kufanya nao mazungumzo kuwabakiza na kununua mastaa wengine zaidi" alisema Kroenke

Post a Comment

0 Comments