advertise with us

ADVERTISE HERE

RONALDO AJIPONGEZA KUWA MCHEZAJI BORA WA ULAYA KWA HILI

Asikwambie mtu soka linalipa hatari, achana na majumba anayomiliki  unazijua ndinga anazokung'uta ?

Ubora huongeza thamani ya kitu na kitu bora huongeza thamani ya mtu,  cristiano ronaldo ameamua kujipongeza kwa kununua gari aina ya ferari f12 moja ya magari yenye spidi duniani. kupitia mitandao ya kijamii ronaldo ameamua kushare picha yake akiwa na gari hiyo na kuandika arrived(imefika)
                        cristiano ronaldo akiwa katika ferrari f12yenye thamani ya dola 500,000

si mara ya kwanza kwa ronaldo kununua magari ya kifahari zaidi  na ameshafanya hivyo mwaka jana kwa kununua Buggati veyron pamoja na Lamboghini Aventor.

Ronaldo akiwa gari aina ya Buggati Veyron yenye thamani ya dola milioni 1.5, pia gari hii inauwezo mkubwa zaidi huku ikiwa ni namba mbili kwa spidi duniani ikiachwa nyuma na gari nyenza Bugatti chiron ambayo pia ronaldo anamkataba wa kufanya matangazo ya bidhaa hiyo.


 Lamboghoini aventador moja ya magari yenye thamani ya dola 400,000lililonunuliwa na cristiano ronaldo baada ya michuano ya UEFAeuro walioibuka kidedea baada ya kuwamwaga ufaransa .

jamaa anastahili pongezi kwake

Post a Comment

0 Comments