advertise with us

ADVERTISE HERE

POGBA KUKOSA MECHI DHIDI YA EVERTONMajeraha ya Paul Pogba kumkosesha mechi sita ikiwemo  dhidi ya Everton wikiendi hii 
 Manchester United itamkosa kiungo wake mahili Paul Pogba , pogba aliumia jumatano hii katika mchezo wa ligi ya mabingwa ulaya dhidi ya FC Basel. majeraha hayo yatamfanya Pogba kukosa mechi sita mfululizo.

Jose Mourinho ameonekana mwenye hasira kwa taarifa hizo, ,wanzoni Pogba aliambiwa na madaktari apumzike lakini alionekana kuto tii ushauri huo matokeo yake majeraha yameongezeka zaidi.

Paul pogba mara baada ya kuumia aliposti picha yake na familia kisha kuandika " pale unapojua kila kitu kitakuwa sawa,
 Kocha Jose Mourinho alipoulizwa ni lini Pogba atarejea alisema haelewi ni lini na amnaamini maumivu aliyonayo yatamkosesha mechi dhidi ya Everton kisha atarejea dimbani. Mourinho aliongeza hatutakuwa nae kwa mechi chache ila tuna wachezaji wengi wanaoweza kuchukua nafasi yake "

Nafasi ya Pogba inaweza kuzibwa na Herrera, Carrick au Fellain aliechukua nafasi baada ya Pogba kuumia.

Post a Comment

0 Comments