advertise with us

ADVERTISE HERE

MAY WEATHER AENDELEZA UBABE MPAKA NJE YA UWANJA

Bingwa mstaafu asiepigika  floyd mayweather wiki iliyopita alinunua jumba jipya huko marekani maeneo ya Beverley Hills kupitia mtandao wa instagram May weather amepost picha akiwa ndani ya jumba hilo.
                                  Mataji aliyoshinda Mayweather  kwa nyakati zote

Bondia huyo aliestaafu kwa kucheza kutopigwa mapambano 50-0 inaaminika ana utajiri unaofikia dola za kimarekani milioni 740.

Mayweather haoni haya kuonyesha utajiri wake na wakati huu ameamua kuonyesha kupitia jumba lake jipya
Mayweather ametumia jumla ya dola milioni74 kulipamba jumba hilo alilolinunua kwa dola milioni 19.


Mayweather amekuwa na kawaida ya kutumia pesa nyingi katika klabu yake lakini kwa sasa ameamua kutumia pesa nyingi kuijaza nyumba yake wine na kutenga mahali maalum kama baa.
                                                                sehemu ndogo ya kupumzikia

Post a Comment

0 Comments