advertise with us

ADVERTISE HERE

MANARA AFURAHISHWA NA MANJI KUNYANG'ANYWA SHAMBA

Manara umeitia aibu simba na soka kwa ujumla, omba msamaha kabla mambo hayajakuendea kombo na wewe 
                                                       Haji Manara Afisa habari wa simba

Wapenzi wa soka nchini  wamekasirishwa na kauli ya msemaji wa simba  Haji manara aliyoitoa kupitia mtandao wa instagram. Manara ameonekana kufurahishwa na kitendo cha Rais wa Tanzania kufuta umiliki wa shamba la   mwenyekiti mstaafu wa Yanga bwana Yusuf Manji lililopo kigamboni.

                                         
Manara aliandika "Daah,, kwahiyo zile porojo za gongowazi kujenga uwanja kuliko wa wembley zipoje hahahahah imebaki storyyyyyyyyyyy, ndio tabia ya vya bure shubamit" kisha kuambatanisha picha hiyo hapo juu
 kauli hiyo imeonekana kuwakera washabiki wa pande zote wakimtaka afute post hiyo na kumwomba msamaha Yusuf Manji. Wengi wamemwona Manara anaroho ya kinyama kutokana na kauli hiyo kwa Yusuf Manji.   aliematatizoni kipindi hiki na kupelekea kufutiwa baadhi ya leseni za biashara zake , kujiuzuru uwenyekiti wa Yanga na kuvuliwa udiwani kata ya mbagala.


Post a Comment

0 Comments