Floyd may weather sio wa mchezo mchezo safarii hii ameamua kununua jumba jingine huko Barvaley Hills lenye thamani ya bilioni 50.
Mara baada ya kumtwangwa Mc Gregory, May weather amejipongeza kwa kununua jumba hilo ,na hii si mara ya kwanza kufanya hivyo hata alipompiga manny Pacquao alinunua jumba jingine lenye thamani ya bilioni 14 za kitanzania. Tazama hapa picha za jumba hilo.
Chumba cha kulala cha jumba hilo
Sebule ndogo ya mazungumzo yenye samani zilizotengenezwa Italy
Kabati kwa ajili ya vichangamsha mdomo
Sebule maalumu kwa ajili ya kunywea wine
Bwawa la Kuogelea
Ukumbi wa sinema wenye uwezo wa kuingiza watu 20
ukumbi wa chakula
Jiko
Jumba hilo linatajwa kama moja ya majumba ya kifahari Beverley Hills mahali ambapo mastaa mbali mbali wa dunia wanaishi pamoja na matajiri wakubwa.
0 Comments