advertise with us

ADVERTISE HERE

GUARDIOLA: MSITUFANANISHE NA BARCELONA

Pep Guardiola amesema Manchester City isifananishwe na Barcelona
Kocha huyo amesema watu wasiifananishe Manchester City na klabu yake ya zamani Barcelona. Manchester City imefanya maajabu msimu huu kwa kufunga magoli 16-0 katika mechi  tatu  dhidi ya Liverpool,watford na Crystal Palace.

"Ni mapema mno kuilinganisha timu hii na Barcelona nina wachezaji ambao sikuwa nao zamani , timu hii haina wachezaji kama wa Barcelona wala Bayern Munich pia hatujashinda taji lolote kama timu hizo. Namna ya kucheza naweza kuizungumzia kwa asilimia 10. ninyi wanahabari mnataka makombe na si namna tunavyocheza , tunajitahidi kucheza vizuri tubebe makombe na kufika huko ni lazima tushinde kuanzia sasa"
.

Post a Comment

0 Comments