BETI NASI UTAJIRIKE

David Wagner awamwaga Mourinho na Klopp

David wagner kocha wa huddersfield  town  awa kocha bora wa mwezi august ligi kuu uingereza EPL 

kocha David wagner amechaguliwa kuwa kocha wa mwezi agosti akiwamwaga jose mourinho wa manchester  united na jurgen klopp wa liverpool. wagner ameonekana kufanya vizuri katika michezo yake mitatu ya mwanzo wa ligi kwa kushinda michezo miwili na kudroo mmoja huku akiwa nafasi ya tatu msimu huu.
kocha David Wagner

huddersfield town imeonekana kufanya vizuri zaid kwa kuitandika crystal palace 3-0 ikiwa ugenini na kupata ushindi wa goli moja dhidi ya newcastle united katika uwanja wake wa nyumbani.

Kura za bodi ya ligi na mitandao ya kijamii kwa ujumla zimeonyesha kumpendekeza zaidi wagner  dhidi ya 

huddersfield town imeonekana kufanya vizuri kutoruhusu goli lolote msimu huu na kushinda goli 4wakitoka sare ya bila kufungana na southampton.
                                          steve Mounie akishangilia bao dhidi ya crystal palace

steve mounie  akifunga goli 2 kati ya  4 zilizofungwa na timu yake anategemewa kuiongoza timu yake dhidi ya westham wikiendi hii

Post a Comment

0 Comments