Cristiano Ronaldo ameongoza katika listi ya wachezaji wanaogombea tuzo za chama cha soka duniani FIFA zilizotangazwa hivi karibuni zikijumuisha wachezaji mbalimbali. katika kinyang'anyiro hicho Ronaldo amewaongoza Lionel Messi na Neymar . Kama atanyakua tena tuzo hiyo itakuwa ni mara ya pili mfululizo na hakuna mwenye tuzo hiyo zaidi yake.
Tuzo hizo zitatolewa mwezi oktoba 23 jijini London Uingereza.
Kwa upande wa makocha kocha wa Chelsea Antonio Conte, Zinedine zidane na Massimiliano Allegri.
Listi ya tuzo mbalimbali
1. Mchezaji Bora wa Mwaka
Cristiano Ronaldo ( Real madrid,Portugal)
Lionel Messi (Barcelona, Argentina)
Neymar (PSG,Brazil)
2.Kocha wa mwaka
massimiliano Allegri (Juventus)
Zinedine zidane (Real madrid)
Antonio conte (chelsea
3.Golikipa wa mwaka
Gianluigi Buffon (Juventus)
Keylor Navas (Real Madrid)
Manuel Neur (Bayern Munich)
4.Goli bora la mwaka
kelvin Boateng (Las Palmas)
Alejandro Camargo (univasidad
Moussa Dembele (celtic)
Olivier Giroud (Arsenal)
Mario Mandzukic (Juventus)
Aviles Hurtado (Tijuana Xolos)
5.Tuzo ya mashabiki bora
Borrusia Dortmund
Celtic
FC Coppenhagen
6.Mchezaji Bora wa kike
Deyna castellanos (Venezuela)
Caril Lloyd (USA)
Lieke Martens (Netherland)
0 Comments