Chelsea na Arsenal zimeshindwa kuonyeshana umwamba baada ya mechi kumalizika kwa sare tasa bila kufungana, matokeo hayo yanaiacha Chelsea nafasi ya tatu nyuma ya Manchester United yenye pointi 10 sawa chelsea ikiwa na mchezo mkononi dhidi Everton utakaochezwa jioni hii. Arsenal imeshuka mpaka nafasi ya 12 ikipishana pointi 6 na Manchester city
Chelsea na Arsenal zitakutana tena tarehe 1 januari mwakani katika dimba la Emirates.
0 Comments