mahakama ya kisutu imemwachia huru mwenyekiti mstaafu wa Yanga bwana Yusuf Manji katika kesi ya uhujumu uchumi. hatua hiyo imefikiwa na mahakama hiyo baada ya mkurugenzi mkuu wa mashtaka (DPP) kuwasilisha hati akionyesha kutokuwa na nia ya kuendelea na mashtaka dhidi ya Manji na wenzake.
Manji hajazungumzia suala hilo na amesema anahitaji kupumzika kwa sasa, Je manji atarudi katika bodi ya Yanga kuendelea na udhamini na uongozi?tusubiri tuone
0 Comments