BETI NASI UTAJIRIKE

ARSENAL WAMSAHAU STERLING

Manchester City inajiandaa kumpa mkataba mpya mchezaji Raheem Sterling kumzuia asiende Arsenal msim ujao
Pep amekiri kufurahishwa na mchezaji huyo mwenye miaka 22 na anataka kumpa mkataba mpya utakao mbakisa hapo mpaka mwaka.......
Guardiola aliwaonya Arsenal kuhusu kumfukuzia mchezaji huyo aliebakiza miaka miatau katika mkataba wake . mkataba mpya utamfanya Sterling kuingiza kiasi cha paundi 200,000 .
Sterling amefanya vizuri msimu huu kwa kufunga magoli 5 katika mechi 5 za ligi kuu uingereza na Guardiola amekiri kupokea ofa kutoka arsenal mwanzoni mwa msim lakini aliikataa.
kwa upande mwingine Guardiola ameonyesha nia kutaka kumsajili mchezaji Alexis Sanchez lakini atakutana na upinzani kutoka Manchester United ambao wameonyesha nia ya kumchukua.
Guardiola amesema "kama mchezaji anataka kuondoka ataondoka lakini Raheem anataka kubaki ,wachezaji wanaotaka kuondoka humuuliza mwenyekiti wa timu lakini kwa sasa hakuna alieonyesha kufanya hivyo wakiondoka hapa wanaenda wapi? "

Post a Comment

0 Comments